Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Monday, 13 February 2012

VIVAZI VILIYONIACHA HOI GRAMMY AWARDS 2012.


Huyu sijui tumuite mama Askofu  lol..(Nick Minaji )
Baba Askofu na mama askofu, watu wanavituko dunia hii balaa.
Lady Gaga huyu tumeshamzoa na vituko vyake.
Duuh!hapa sijui hata niseme nini.
Huyu angalau alieleweka kidogo.

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Jamani mavazi hay kaazi kwelikweli..

chib said...

Huyo askofu!!!

Goodman Manyanya Phiri said...

Yafurahisha kuona mawazo ya wasanii kuhusu vazi: HATA BUNDUKI YENYE SIFA YA KUTOA ROHO YAONYESHWA LEO KAMA VAZI.

Umeachiwa hoi, "Mwanaketu", hata mimi hapa niko hoi kama wewe!