Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Wednesday, 25 April 2012

NGUNA LA NGUVU

Check hilo nguna lilivyokubwa alafu angalia mboga.....kiduchuuuu lol....

3 comments:

Rachel siwa Isaac said...

Heeee mwanakwetu njoo uchukue MKUNUNGU, Niletewa jana zawadi, nguna lote hilo linaisha kwa kijiko kimoja cha mkunungu!!!!!!hahahhahhaa.
Mimi penda sana wewe pia, Salimia my Shejiiiiii!!!

Yasinta Ngonyani said...

Hiyo kweli sima ya nguvu kweli hata nikitembea polepole nitalikuta..ila sasa mboga duh! wangoni tunasema "ugali wa kulumalila"

EDNA said...

Hahahaaa mwanakwetu umenikumbusha mbali sana na mkunungu,hahaha.

Da Yasinta umeona eeeh nguna kama mlima kilimanjaro