Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Thursday, 17 May 2012

GET WELL SOON MOM.

Kwanza poleni kwa kuwa kimya kwa siku kadhaa,ukweli ni kuwa mama yangu anaumwa alipata stroke wiki tatu zilizopita hivyo hata hamu ya kukaa na kuandika chochote ilipotea kabisa.
GET WELL SOON MY BEAUTIFUL MOM will see you soon.

6 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Edna! pole sana na kuumwa kwa mama..naomba mpe pole kutoka kwangu..Tupo pamoja kumwombea apata nafuu

John Mwaipopo said...

poleni kwa kuuguliwa. twamuombea mama arejewe na afya tele.

Rachel siwa Isaac said...

Pole sana da'Edna, pole sana mama, Mungu akuponye haraka,Pamoja katika Maombi, Segito!!!!

Sara Gau Goloka said...

I wish her quick recovery.

EDNA said...

Asanteni sana wote kwa pole.

Simon Kitururu said...

Pona haraka Mama!Poleni sana Edna na Familia nzima!!