Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Monday, 21 May 2012

NI MIAKA 16 TANGU MELI YA MV BUKOBA IZAME.

MELI YA MV BUKOBA

Historia imewekwa leo na Flaviana Matata alipokabidhi msaada wa maboya (life vests) 500 kwa Shirika la Meli la Taifa (Marine Services Co Ltd) kama sehemu ya kumbukumbu ya MV Bukoba - ambapo ni miaka 16 tokea meli hiyo ilizame na kuua watu takriban 1,000 akiwa pamoja na mama yake Flaviana .

MUNGU AZIWEKE ROHO ZA MAREHEMU WOTE MAHALA PEMA PEPONI,NA PIA MUNGU AWAPE NGUVU WOTE AMBAO WALIPOTEZA NDUGU ZAO KATIKA AJALI HIYO.

1 comments:

emu-three said...

Hapa umenikumbusha kisa chetu kilichopita, http://miram3.blogspot.com/2011/07/akufaaye-kwa-dhiki-ndiye-rafiki-wa.html