Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Monday, 9 July 2012

UNAWAFAHAMU HAWA WADUDU?

Kwa wale wasiowafahamu hawa wadudu wanaitwa senene ni kitoweo kimoja matata sana, wanaladha kama ya kumbikumbi hivi.Mimi nilishawahi kuwala miaka kadhaa iliyopita ila sikumbuki wanapatakana mkoa gani na sina hakika kama wana msimu maalumu ninachojua kumbikumbi hupatikana kipindi cha mvua.Wenye ufahamu zaidi tafadhali watujuze.

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

mmhhh...hata mie sijui ni msimu gani wanapatikana . Ila najua wanapatikana sana sehemu za Bukoba au sijui Mwanza?

emu-three said...

Hivi nasiki hawa wanaliwa, chaku chaku...duuh, kweli inataka moyo, na nafsi zinatofautiana...ipo siku kitajarini nione zipo, nitafumba macho,halafu tii mdomoni, kama sioni vile!