Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Wednesday, 29 August 2012

JUMBA ANALOMILIKI MCHUNGAJI GETRUDE RWAKATALE

 Kumbe kazi ya uchungaji inalipa eeh! wacha na mimi nitest zali la kuwa mchungaji labda na mimi nitamiliki mjumba kama huu siku moja hahaaa.Pichani ni jumba jipya analomiliki mchungaji Getrude Rwakatale.
 Kitanda anachopumzika mama baada ya kazi ngumu.
 Pa kujipodolea.
 Mama mwenye nyumba kajaa tele.
k
 MC na mchungaji Haris Kapiga wa Clouds FM

4 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Huu sasa si uchungaji bali ni uchunaji...Kweli hivi ndivyo tulivyoagizwa na Mungu tufanye?
Edna! ukiwa hivyo basi nitaomba kazi angalao niwe nakutumikia..LOL

EDNA said...

Dada Yasinta wewe acha tu ndugu yangu, hayo ni matusi makubwa kwa watoa sadaka.Ila hiyo inaitwa mjini shule.

Rachel siwa Isaac said...

Mimi ukiwa hivyo naomba niwe muhesabu SADAKA, MWANAKWETU!!!!!!!

EDNA said...

Hahahaaa sadaka nitakuwa nahesabu nakutunza mimi mwenyewe wewe naona utanizidi ujanja.