Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Friday, 3 August 2012

WANAFUNZI 94 WAPATA KIPAIMARA LEO.

 Wanafunzi 94 wa shule ya Mt.Everest wakiwa tayari kuingia kanisani kuhudhuria ibada ya kupata Kipaimara
 Baba askofu Eseubius Nzigirwa akiingia kanisani kwa ajili ya ibada maalumu ya Kipaimara.
 Mwalimu Mkuu wa Shule ya Mt.Everest,Sister Rose akitoa neno la shukrani na hongera kwa waliopata Kipaimara,Katikati ni Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda na mwishoni kulia ni baba askofu Eseubius Nzigirwa.
 Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda pamoja na wawakilishi wa wanafunzi waliopata Kipaimara wakikata keki kama ishara ya kupongezana.
.Baadhi ya wanafunzi wa shule ya Mt. Everest wakipata chakula chao cha mchana wakati wa sherehe hizo.

PICHA NA MAELEZO NIMETUMIWA NA ADAM MZEE.

1 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Napenda kuwapongeza wote kwa kupata kipaimara. HONGERA SANA...