Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Thursday 27 September 2012

JUMBA LA EPIQ BONGO STAR SEARCH.

 Hii ndiyo nyumba ambayo jana ilifunguliwa rasmi kwa wageni waalikwa walikuja kushudia jinsi washiriki wetu wa Epiq Bongo Star Search wanavyoishi na kupata malezi bora kabisa katika nyumba hiyo.

l
Hapa ndipo washiriki wa Epiq Bongo Star Search wanapolala.
 Sasa yale mambo ya msosi nini ndo dzain  hapa ndipo washiriki wetu wa Epiq Bongo Star Search  wanapikiwa hapa.


 Madam Ritha ambaye ni judge wa Epiq bongo star search akikaribisha ndani wageni waje kushuhudia jinsi washiriki hawa wanavyoishi katika nyumba hiyo bila kupatwa na shida yoyote.
PICHA NA MAELEZO NI KWA HISANI YA BLOG YA DJFETTY.

0 comments: