Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Friday, 28 September 2012

NAWATAKIA MWISHO MWEMA WA WIKI WANDUGU.

BURUDIKA NA AZOTO.

5 comments:

Yasinta Ngonyani said...

sijui hapo ulikuwa unaangalia nini..nawe uwa na wakati mwema ..umependeza kweli rangi za nguo nimezipenda sana...

Rachel siwa Isaac said...

Nanyie pia mwanakwetu,maslimie semegii.
Huyu Mrembo namfananisha na ndugu wa mimi..Nasubiri ageuke, kwani hizo Rangi zimemtoa kwa sanaaaa.Watoto wa leo wanasema Ametokelezeaaaaaaaaa!!

EDNA said...

Da Yasinta hata sikumbuki nilikuwa naangalia nin.

Da Rachel utasubiri sanaaa sigeuki ng`oo.Ila asante mwanakwetu.

Rachel siwa Isaac said...

Hhaaahhaah mimi siondoki ng'oo sioni tabu kukesha mwanakwetu!!!

mimi nakumbuka ilikuwa siku ya kwenda kanisani, sasa Biblia sijui ulisokomeza katikati............hahaaaha

emu-three said...

NA WEYE PIA jirani mwema, na leo J3 NJEMA