Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Wednesday, 24 October 2012

TUTAFIKA KWELI KAMA VIONGOZIO WENYEWE WAKO SHALLOW KIASI HIKI?,


Jamani inakuwaje mtu kama huyu anapewa nafasi kubwa kama hiyo?eti  waziri wa  elimu? Hivi kweli nchi imekosa mtu mwenye sifa za kupewa hiyo nafasi mpaka apewe mtu asiyejua historia wala jografia ya nchi yake? eti  Tanzania was formed in one 1964 by unifying the Indian Ocean Islands of Zimbabwe and Pemba and mainland country formerly known as Tanganyika? tangia lini zimbabwe ni sehemu ya Tanzania? Khaaah! this makes me sick.0 comments: