Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Monday, 5 November 2012

SPANKING NEW VIDEO IN TOWN.MATONYA,ZILIPENDWA.
Hii staili ya kucheza inafaa sana hasa kwa kipindi hiki cha baridi kwa sisi tunaoishi kwenye nchi za baridi.Ukicheza mwanzo mwisho wa wimbo lazima jasho likutoke.

1 comments:

emu-three said...

Kazi nzuri Matonya, na hapanmejifunza kitu, chunguza sana mitindo ya kucheza, na hata mipigo, kumbe tunaweza kugundua mtindo wa kibongo, ambao kila mwanamziki anaweza kuupiga au kuucheza, ...iwe kama nembo ya kibongo,...MNASEMAJE WANA BONGO FLEVA