Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Saturday, 3 November 2012

WEEKEND NJEMA WAUNGWANA.

Njaa inauma kupika naona uvivu, nimeona nipooze njaa na juice.

4 comments:

Yasinta Ngonyani said...

nawe pia...nakuelewa wakati mwingine inaletesha uvuvi kweli kupika...

Rachel siwa Isaac said...

natumai mlikuwa na wakati mwema..hakuna chipsi vumbi?..kwetu ni kuzuri

EDNA said...

Da Yasinta asante kwa kunielewa maana shemeji yako huwa hanielewi,anasema inakuwaje mtu una njaa alafu usikie uvuvi kupika?

Da Rachel mwanakwetu umenikumbusha mbali na hizo chips vumbi hahaaa.

emu-three said...

Wikiendi njema na weye pia, leo naona j3 njema!