Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Thursday 27 December 2012

KIPINDI KIPYA CHA AFYA NDANI YA CLOUDS TV.

 
 
Afyacheck ni kipindi kipya cha tv ambacho kinakupa fursa ya kujua afya yako. pia utapata 
nafasi ya kuuliza maswali yakusu afya. na utajibiwa. Kipindi hiki kitakua kinaruka kupitia Clouds tv. Hii link niya kipindi cha kwanza cha afyacheck inazungumziwa swala zima la afya ya uzazi tazama uone mtoto anavyo patikana kila hatua inaonekana mpaka mbegu zinavyo ungana.
 

0 comments: