Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Thursday, 10 January 2013

Filosofa Forum Sura Mpya, Mambo mapya.

 
Forum mpya inayokua kwa kasi Afrika Mashariki – Filosofa Forum 
- sasa imepewa sura mpya yenye mvuto. Pamoja na kung’arishwa forum imeongezewa uwezo (functionalities) ili kuwawezesha wapenda hoja kuitumia kwa urahisi na ufasaha.
Pia timu inayoendesha mtandao huu inawashukuru wale wote ambao tayari wamejiunga na zaidi wale wote ambao wamekuwa wakitoa na kuchangia hoja mbalimbali.
Karibu uelimike na kuelimisha wengine.Tanzanians are already waiting for Kenyans now.
G Mboya
Contributor

0 comments: