Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Monday, 11 February 2013

SEMINA YA MIKAKATI YA KUONDOA TATIZO LA AJIRA NCHINI

Semina juu ya mikakati ya  kuondoa tatizo la ajira nchini imeendeshwa leo katika ukumbi wa NEC, Dodoma.
Katika semina hiyo wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa  ya CCM wameweza kupata semina maalumu ambayo ilikuwa na masomo kutoka kwa Prof. Elisante  Ole Gabriel ambae alielezea  Maendeleo ya Vijana na Mikakati  ya kuondoa Tatizo la Ajira nchini, na Ally Msaki  alitoa mada juu ya  Hali ya Ajira Nchini na Mikakati ya Serikali.
 
PICHA NA MAELEZO NIMETUMIWA NA ADAM MZEE.

0 comments: