Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Saturday, 23 March 2013

HAPPY BIRTHDAY TO ME

Kila inapofika tarehe 21 ya mwezi wa tatu kila mwaka huwa nasherehekea siku yangu ya kuzaliwa.Msishangae naweka post leo wakati siku yenyewe imeshapita,ukweli ni kwamaba nimebanwa sana kwa sasa.Anyway,napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru mwenyezi MUNGU mwingi wa rehema kwa kunipendelea na kuniongezea mwaka mmoja zaidi duniani.
HAPPY BORN DAY TO ME.

4 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Hongera kwa siku ya kuzaliwa mdada..mwenyezi Mungu na azidi kukulinda.

Rachel siwa Isaac said...

Mweeh kwani nimechelewa wapi huu mnuso?....Natumai nimewekewa....

Hongera sana mwanakwetu..MUNGU azidi kukubariki,Kukulinda na akupe miaka mingiiiiiiiiiiiii...

emu-three said...

HAPPY BIRTHDAY JIRANI YANGU, UBARIKIWE SANA, NA TWAKUOMBEA KWA MOLA AKUJAZE AFYA, NEEMA NA BARAKA TELE!

EDNA said...

Da Yasinta asante sana mdada wangu.

Da Rachel mwankwetu ndihongesa sana nyeee.

Emu -Three jirani uangu nashukuru sana.