Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Monday, 4 March 2013

VAZI LA KITENGE LATAWALA KWA ASILIMIA 90, SIKU YA WOMEN'S CELEBRATION

                                   
                                                     MAVAZI YA KITENGE
Vazi la kitenge ndio vazi lililotawala kwa asilimia 90% siku ya Women's Celebration, mavazi hayo yalioshonwa kwa mitindo aina mbali mbali yaliwapendeza sana wageni waliohudhuria shughuli hiyo pale Diomond Jubilee, V.I.P Hall, march 3,2013.

MITINDO YA NYWELE


Masuala ya Nywele nayo hayakuwa nyuma katika shughuli hiyo ya Women's Celebration ,Diamond Jubilee V.I.P hall, march 3,2013.

Picha zimepigwa na Adam H. Mzee pamoja na John Photo.
                                     
      

1 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Safiiiiiiiiii sana tena sana nimependa kama nami ningekuwa wanawake oyeeeeeeeeeeeeee!!