Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Monday, 27 May 2013

NAAMINI MOJA KATI YA HIZI PICHA MOJAWAPO ITAKUFANYA UTABASAMU

Chezea mama ntilie wewee?
Mzuka ukinipanda huwa nacheza mpaka nachana nguo hahaaaa
Mradi nifike

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Mie nimecheka zote na sijui kama tena ntakula kwa mama ntilie..Lol

EDNA said...

Hahaaa umeona eeh dada Yasinta,huwa tunalishwa vitu vichafu ni Mungu tu anatusimamia.