Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Saturday, 11 May 2013

THE BEST WAKULIMA EVER

 Msimu wa kuandaa bustan ndiyo huo umewadia,hahaaaa kama tuko Iringa vile... I LOOOVE IT.
 Thanks wifi for giving us a hand,you are the best.
 Its fun coz huyu (wifi) mdada kasafiri kutoka Ujerumani ili tu atusaidie kuuandaa hii bustani,bora sasa ingekuwa kubwa mweeeh.Ila tunamshukuru sana maana kila siku tulikuwa tunasema tutaanza kesho na hiyo kesho haifiki,alipofika tu akasema haya twendeni tukaanze kazi.

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Amefanya vizuri..mwenzio nimeanza jana jumamosi ingwa sijapiga picha safi sana ,,,edna kwa nini tusifanya chama?...

Said Kamotta said...

Hongera dada Edna kwa kutekeleza kulima bustani. Natumaini hapo baadae utafaidika na hiyo bustani, ila ungetueleza umeandaa na kupanda nini kwenye hiyo bustani.

John Mwaipopo said...

kilimo kwanza hadi ughaibuni? jasiri haachi asili. ila ukivuna utukaribishe kuonja, japo kwa picha? likolo lya nanyungu linaota huko? yasinta upo?