Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Wednesday, 17 July 2013

NIMEFURAHI KUTEMBELEWA NA KAKA YANGU ( LITTLE BROTHER IS IN STOCKHOLM NOW)

 We are so happy to see you  young man
Swagg BOY

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Karibu sweden kaka mdogo wetu.

Rachel siwa Isaac said...

Hongerani sana kwa kukutana.. kaka za safari/ bila shaka hukusahau kutuletea mkunungu.. na mkininyima haya tuu.....

EDNA said...

Hhaaa da Rachel umeniacha hoi na mkunungu wako, tena kaleta na mikusu nitakufungashia nikutumie heee.

Da Yasinta nasema asante kwa niaba yake.