Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Tuesday, 17 December 2013

CODES;TASWIRA MDAU GERALD NGOWI ALIPOKULA NONDOZZ TOKA CHUO KIKUU MZUMBE TAR 6/12/2013

Mdau wa mtandao huu ndg gelard ngowi akipozi wakati wa mahafali ya chuo kikuu mzumbe akisubiri kutunukiwa nondoz yake katika maswala ya uhasibu na fedha ambapo alitunukiwa shahada ya kwanza( BA IN ACOUNTING AND FINANCE)


furaha ya kutunukiwa shahada zao wadau hawa wote wamebobea katika maswala ya uhasibu na fedha

Mdau gerald nowi akiwa na mdau ernest chimaguli baada ya kutunukiwa shahada zao toka chuo kikuu mzumbe mwishoni mwa wiki iliyopita

Gerald ngowi,harmestone njiro na ernest chimaguli wakipozi baada ya kutunukiwa shahada zao toka chuo kikuu mzumbe wakibobea katika uhasibu na fedha 

                                     PICHA ZOTE NA MWANAHARAKATI MZALENDO BLOG

0 comments: