Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Thursday, 22 October 2009

THE FIRST LADY MAMA SALMA KIKWETE



Mke wa rais mama Salma Kikwete ametunikiwa tuzo ya MAMA WA UPENDO na wanafunzi wa sekondari Mvumero mkoani Morogoro,ikiwa ni ishara ya shukurani kwa wanafunzi hao kwa jinsi anavyowajali na kuwasaidi watoto wenye shida.KEEP IT UP MAMA.

2 comments:

Anonymous said...

Duu ni vizuri sana wanafunzi walichokiamua.Mama kikwete alikuwa mwalimu ndomana anaelewa sana matatizo juu ya wanafunzi,ongeza bidii mama

Anonymous said...

ni kweli huyu mama anastahii hiyo tuzo.