Wednesday, 30 December 2009
KATIE WANTS A TOM CRUISE TATOO!
Katie ambaye ni mke wa Tom Cruise amesema anataka kuweka tatoo ya jina la mumewe ikiwa ni ishara ya mapenzi yake kwa mumewe,kikubwa zaidi ink itakayotumika kwenye hiyo Tatoo itakuwa na GPS Serial number....ili kumuwezesha mumewe kujua mahali alipo wakati wowote ule....Mmmmh.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comments:
GPS serial number? Duh! Huyu naona anataka kufugwa sasa. Watu wanaopigania usawa wa wanawake wako wapi? Halafu si ajabu ukasikia huko mbele wameachana. Unakumbuka mambo waliyokuwa wanafanya Angelina Jolie na mumewe za zamani - tatoo kibao mpaka wakabadilishana damu kabisa. Halafu puu wakaachana. GPS au bila GPS bila upendo wa kweli wa moyoni ni kazi bure!
Nilisahau kusema jana kwamba - blogu yako ni nzuri. Songa mbele!
Post a Comment