Wednesday, 9 December 2009
TANZANIA KUADHIMISHA MIAKA 48 YA UHURU LEO.
The big Boss mwenyewe a.k.a Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama Tanzania ukipenda muite Rais wa Tanzania, wakiteta na mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama jenerali Davis Mwamnyange,katika maadhimisho ya miaka 48 ya uhuru wa Tanzania yaliyofanyika leo katika viwanja vya uhuru.
Rais Jakaya kikwete akikagua Gwaride leo katika maadhimisho ya kuadhimisha miaka 48 ya uhuru wa Tanzania.
Kikosi cha askari wa kutuliza Ghasia (FFU)aka *fanya fujo uone* wakitoa heshima kwa Amiri jeshi Mkuu, Rais Jakaya Mrisho Kikwete.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment