Sunday, 17 January 2010
THE UGALIIIIIIZI!!
Hili nguna linaenda kwa mboga ya aina yeyote halina ubaguzi,Kwa mrenda sawa,maharage poa,nyama ya kuku,ng`ombe twende.Mimi linashuka sawa sawa na nyanya chungu zile za uchunguuuuu kabisaaaa! zikichanganywa na nyama ya ng`ombe utamu wake unausikilizia hadi kisogoni.....Ooooh i badly miss this thing.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
4 comments:
sure. i imagine your position. you really must be missing ugali. lol.
Yap Jonh! really miss ugali.
Mimi hilo nalila na dagaa walio kelea limao na pilipili halafu na kisamvu cha karanga kilicho changanywa na nyanya chungu we acha tu
Umenikumbusha kwa mama Ntilie a.k.a mama lishe. Nikifika Bongo tu kazi yangu ya kwanza ni kutafuta penye genge zuri wanapouza supu nzuri ya makongoro na mikia ya ng'ombe. We acha tu!
Inasemekana kwamba sisi Wasukuma ndiyo tuligundua ugali!
Post a Comment