Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Monday, 22 February 2010

HATARIIIIII! KWELIKWELI.

Maji machafu yakitiririka kutoka kwenye shimo lililopo katikati ya barabara jijini Dar es salaam,Mfuniko umeshachukuliwa na wajanja......Mmmmh.
Picha kwa hisani ya mtaa kwa mtaa.

4 comments:

Simon Kitururu said...

Kazi ipo!:-(

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

Na utashangaa mengi sana da Strive 4 Life :-(

Hujashangaa vilima yalipo makao makuu wa mkoa ama makazi ya RC kama Mara na Mwanza imesheheni miti wakati vilima vivokuwa na miti na sehemu zingine zinageuka kuwa jangwa?

viongozi wapo ama?

Faith S Hilary said...

Home Sweet Home. Watu wanaiba mpaka malu malu kwenye makaburi...

EDNA said...

Jamani nyie acheni tuu nchi yetu imeoza,na viongozi wetu hawajui wajibu wao.