Monday, 8 February 2010
Tabu Ya Usafiri Dar!!
Hivi hili tatizo la usafiri litakuja tatuliwa lini? bus linalotakiwa kubeba watu 40 linabeba watu 100, kwa mtindo huu ajali zitaisha kweli? Cha ajabu Trafik akikukamata umezidisha abiria atataka rushwa ukitoa anakuachia uende zako....Hii ndio Tanzania bwana pesa inawekwa mbele kuliko utu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
3 comments:
nimenukuu "....Hii ndio Tanzania bwana pesa inawekwa mbele kuliko utu." hili jambo hata mie sielewi kabisa. Kwanza kama ningekuwa na uwezo ningetoa daladala zote na kuweka mabasi makubwa tu. Maana hizo daladala ni kama utitiri na pia hazitoshelezi kabisa.
Mimi nimeipenda sheria ya Rwanda, hakuna kusimamisha mtu ndani ya basi, na pia wanafunzi wana haki sawa na wakubwa kuingia na kukaa kwenye viti
Bongo TAMBARAREEEEEEE
Post a Comment