Wednesday, 3 February 2010
`WE ARE THE WORLD` NEW VERSION!!
Jumla ya wasanii 100 maarufu wa muziki duniani,walikusanyika katika studio moja chini ya Producer yule yule aliyetengeneza WE ARE THE WORLD ya mwaka 1985,Quincy Jones ili kuutengeneza upya wimbo wa We Are The World.lengo likiwa ni kuchangia waathirika wa tetemko la Ardhi lililoikumba Haiti wiki chache zilizopita ambapo inahofiwa kwamba watu zaidi ya 200,000 walipoteza maisha.Baadhi ya wasanii hao ni,
Wyclef Jean, Kanye West,Celine Dion,Jennifer Hudson,Miley Cyrus,Barbra Streisand,Tony Bennett,Jamie Foxx,Natalie Cole, Akon, Carlos Santana,Josh Groban,Justin Bieber, Snoop Dogg,Drake,LL cool J na wengine wengi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comments:
Ubinadamu, ubinadamu, ubinadamu. Safi sana!
Post a Comment