Monday, 1 March 2010
70`S FASHION IS BACK!
Nimegundua kuwa kizazi cha sasa hakina jipya when it comes to fashions. ..Fashion zimekuwa zikijirudia rudia zile zile zilizokuwa miaka ya nyuma, hivi ndio kusema ubunifu umetushinda mpaka tukopi zile walizobuni wenzetu? Hii hair style ilikuwa miaka ya 70-80 if not up to 90`s ilikuwa ikiitwa Pank, lakini sasa imerudi na tunaiita Rihana Style.....Mmmmmmh Rihana kazaliwa kaikuta.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
6 comments:
Kweli kabisa mitindo ya zamani yote inarudi umenikumbusha miaka ile nilipokuwa mdogo ukiona mtu amevaa viatu virufu(Raizoni) tulikuwa tunaziiita na suruali pana miguuni(Mabwanga)
Hooooooooooooooddddddddddddiiiiiiiii hapa wenyewe mpooooooo
NIMEPITA KUWASALIMIA TU KARIBUNI SANA NYASA(www.lundunyasa.blogspot.com) na karibuni tujadili(www.fananinyasa.blogspot.com)
kazi njema
Hahaaa da Yasinta umenikumbusha mabwanga na raizoni,MARKUS karibu sana wenyewe tupo twakukaribisha,Na tutakaribia Nyasa.
Haya ni mambo yenu vijana. Sisi wazee hatumo!
Matondo: mambo ya vijana ni yapi ya wazee ni yapi? isijekuwa yale uyasemayo ya vijana ndo wakawa wanayafanya wazee...lol
Ama hujawahi kukuta kijana ana BUSARA zaidi kuliko MZEE?
Ng'wanambiti - nilikuwa najizungumzia mimi na hiyo staili ya kunyoa na SI mengine!
Nawajua wazee-vijana makwarukwaru ambao wanaweza kuwazidi hata vijana kwa "kuruka viwanja" na ....
Post a Comment