Ryan and Leo.
Ni mara chache sana watoto mapacha kuzaliwa wakiwa na rangi tofauti za ngozi zao, au pengine haijawahi tokea kabisa. Watoto Ryan na Leo wameushangaza ulimwengu baada ya kuzaliwa na rangi tofauti za ngozi zao.Mama ni Raia wa Ghana na baba ni raia wa German.
Saturday, 13 March 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
5 comments:
Kama ni kweli kwa kweli ni ajabu,Je tutajuaje kama ni kweli? Hatuna uhakika kama ni kweli.
geneticists - tuambieni. Hili linawezekana?
sisi waamini wa dini kama wanasayansi mtasema kuwa haijawahi TUTASEMA NI MUUJIZA...lol
Yawezekana walikuwa wamewekeana nadhiri na nadhiri hiyo kutokana na nguvu za maumbile imekuwa....
Si unaweza kukuta baba na mama wanasema akizaliwa mtoto wa kike afanane na mama ama baba na kinyume ch na kweli huwa?
Kwa hiyo hakuna cha kushangaza kwa kuwa baba na mama wamejizaa kivyao!!!
kimbembe ni pale vitakapokua na kujiuliza 'wewe mbona huna rangi kama yangu' japo twashea titi moja?....lol
NIKWELI NA NIMDA MREFU MWANA MAMA HUYO ALIZAA MAPACHA HAWO NILIWAONA MARA YA KWANZA KWENYE TV HAPA GERMANY!
that is very very very veeeery weird...in a good way though..
Post a Comment