Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Wednesday, 31 March 2010

RED SAN ,YULE PALE!


Hatimaye nimefanikiwa kuweka Video kwenye Blog yangu,baada ya kuhangaika kwa Muda mrefu bila mafanikio.Shukrani za dhati ziende kwa MZEE WA CHANGAMOTO kwa kunipa darasa la nguvu.Asante sana kaka God Bless you.

3 comments:

Mzee wa Changamoto said...

Profesa Mbele aliwahi kusema kuwa maProfesa vyuo cikuu hawavunji msitu. Wafanyao hayo ni waalimu wa shule za awali.
Nami nafurahi kuwa umefanikiwa, lakini shukrani hizi nazipitisha kwa kina Da Subi, Kaka Kitururu, Da Yasinta na Jeff Msangi ambao kwa mkupuo niliwauliza namna ya kufanya (baada ya kuhangaika kama wewe) na walinionesha la kufanya na sasa ninatengeneza na kuweka videos zangu.
Umeongezeka kwenye "zao" la kazi zao. Na kwa aliyewaonesha wao, na aliwaonesha wale waliowaonesha wao, na wooote wanaoshirikiana katika kufunzana namna ya "kunogesha" blogu zetu, nasema ASANTENI SAAANA

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

Da Edna, itabidi nami unipe hilo darasa ili kuthibitisha usemi wa Musee ya Changa-moto kuwa "Profesa Mbele aliwahi kusema kuwa maProfesa vyuo cikuu hawavunji msitu. Wafanyao hayo ni waalimu wa shule za awali."

EDNA said...

Huu ndio ushirikiano tunaotakiwa kuwa nao wanablog,Asante sana wooooote mliotupa hii elimu,Da Yasinta,Da Subi,Kiururu,Jeff Msangi,na wengine wote.
Kaka Chacha wala usijali utapata hilo darasa tena bureeeeee.