Sunday, 7 March 2010
HAPPY BIRTHDAY MY LIL BROTHER!
He is my sweet little brother anaitwa Adam leo ametimiza mwaka Mmoja, ni mtoto wa mama yangu mdogo, nikiwa kama dada mkubwa nakutakia kila lililo heri katika safari yako ya maisha ambayo ndio kwanza unaianza .Mwenyezi Mungu akulinde na akukuze vyema ili uje kuwa mtu mwema....Always love you.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
5 comments:
Hongera sana kwa siku yako Adam!!
Hehehehe!! siku moja!! happy birthday to the little one!! xx
Happy birthdate Adam
Live long Lil Brother
Much Luv to you and Sis Edna
Kwa niaba ya mtoto Adam nasema asante sana kwa kuonyesha upendo na pongezi,Mungu awabariki ninyi nyote.
Sijachelewa... kila la heri katika kusheherekea siku ya kuzaliwa mtoto Adam. Mwenyezi Mungu awape wazazi wako nguvu ya kukulea vyema uwe mkubwa na hekima kama dada yako Edna!
Post a Comment