leo ni siku yangu ya kuzaliwa siku ambayo ni muhimu sana kwangu......Nipo ndani ya Kitenge hahaaaa nimesubiri summer weeeeeee mpaka nimechoka nimeamua nivae humuhumu ndani coz siwezi toka nje namna hii. Asante baba na Mama kwa zawadi ya Kitenge na pia asante kwa kunilea mpaka nimefika hapa.
Sunday, 21 March 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
8 comments:
Ngoja niwe wa kwanza ktk blog najua umeshaimbiwa na kutakiwa kila la kheri . Nakutakia kila la kherikwa kila ufanyalo katika maisha na pia nakutakia mafanikio mema. Na uishi mpaka uwe kibibi kizee kabisaaaaaa. Hongera kwa siku hii muhimu= har den äran!!
Kabisa FOREVER YOUNG!!!!!! We don't have the power but we never say never! hahaha
March tuko wengi kweli! Happy Birthday my sis!!! God Bless you loads and live looooooong...young of course hehehe....Much love from candy1
Miaka mingi yenye mafanikio na furaha tele ingali mbele yako. Happy Birthday leo unapofurahi na wapendwa wako. Ubarikiwe!
Hivi nilikuwa wapi jana KUKUTAKIA SIKU NJEMA NA YENYE MWANZO MWEMA WA MAISHA MEMA KWA WALIO WEMA WOTE?
Naamini sijachelewa maana kama ni zawadi basi leo ndio utaziona kwa uzuri. Si unajua siku yenyewe wafungua na kufungua na kufungua tuuu, kisha siku inayofuata waziangalia kwa "uzuri"?
Basi siku hii ifuatayo siku muhimu kwako mimi NAKUTAKIA MAISHA YALIYO MEMA na uendelee kufurahia na kupambana vema na maisha yetu ya kila siku.
Nakuthamini saana na najivunia kukutambua
Blessings
Har den äran på födelsedagen....
Mdau
Haninge
Asanteni sana wote kwa kunitakia yaliyo mema Mungu Awabariki sana.
Mzee wa Changamoto hujachelewa bwana...
Candy1, of course i wanna live forever young, Hhaaa haaa Are u gonna drop the bomb or not
Mdau hanninge...Tack så mycket
Da Yasinta na Masangu Matondo asanteni sana.
Happy Birthday Edna ingawa nimechelewa kiduchu!
Asante Simon Kitururu kwa kujali.
Post a Comment