Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Wednesday, 24 March 2010

MUGAMBO NA WAFANYA BIASHARA NDOGONDOGO A.K.A WAMACHINGA!

Huwa inasikitisha unapokuta Mugambo anamnyang`anya mmachinga bidhaa zake pale anapomkuta akifanya biashara mahali palipopigwa marufuku.... Bishara yenyewe ya mifuko na maji maskini wa Mungu. Sawa mugambo anatimiza wajibu wake na Mmachinga anatafuta ridhiki yake, licha ya kuwa nayeye anavunja sheria..lakini je? ni haki kumnyang`anya mali zake? kwani sikuna vyombo vya sheria kwanini asifikishwe huko? sina uhakika kama wakinyang`anywa huwa wanarudishiwa baadaye au ndio imetokelea huko.

1 comments:

Mzee wa Changamoto said...

Unazungumzia machinga Dada? Nililosikia ni kuwa hata gari yako ikipelekwa polisi kuna uwezekano kuwa ukienda utakuta vioo na redio na vitu vingine vya thamani vimeibiwa.
Labda hii yaweza kujibu swali la NANI ANAIBA MALI ZA RAIA