Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Thursday, 8 April 2010

MESSAGE SENT!

Kama kuna kipindi cha television nilikuwa sikosi kuangalia katika vipindi vya Television Tanzania basi ni The comedy show, ambao kwa sasa wanajiita Original Comedy Baada ya kuhamia TBC....Napenda style yao ya kufichua yale yaliyojificha katika jamii kwa njia ya vichekesho.Hii husaidia hata wale wenzangu na mimi ambao ni wavivu kusoma magazeti au kusikiliza, kuangalia taarifa za habari, kupata habari kirahisi kwa sababu hawakosi kuangalia kipindi cha Original Comedy kupitia television ya Taifa TBC. Naamini wahusika ujumbe huwafikia lakini kwa kuwa hawana mshipa wa aibu huyapuuza wayaonayo na kusikia kuyafanyia kazi...Tazama hii clip hapa chini.

Kichefuchefu na orijino komedi from mbezi sokoni on Vimeo.video kwa hisani ya Magazeti ya Tanzania via Kennedy.

0 comments: