
INDIA...... unakumbuka hii style ya kichapo? inaitwa Bush Style hahaaa.

TURKEY .....Mbunge akisulubiwa

MEXICO..... Mbunge anachukua mkong`oto.

JAPAN .....watu wanahasira wanatamni wammeze.

TAIWAN

RUSSIA.....
Tanzania je? kama wajua style ya wabunge wetu tafadhali tuambiane.
3 comments:
Tz ni kucheza na tunguli kuzunguka mjengo.....lol
Tanzania itakuwa nafuu. Najaribu kufikiria kama ingekuwa ni Afghanistan au bunge la Alshabab la Somalia, maana kila mtu ana mtutu, sasa sijui ingekuwaje!!
Nyongeza kwa Chacha...
Tz ni staili kama ya Uchina. Tazama hapa:
http://matondo.blogspot.com/2010/03/lini-zitapigwa-bungeni-chimwaga-staili.html
Post a Comment