Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Friday, 7 May 2010

DO YOU LIKE FISHING? I DO

Jamani i really like fishing,I h´ve tried so many times to catch a fish lakini holllaaa.
Kama wewe wajua mbinu za kukamata samaki tafadhali niambie,will appreciate.

7 comments:

Unknown said...

yaani wewe!

weka chambo kama hujaweka hakuna samaki

na lazima uangalie hicho kiboya kidogo kinachokuonesha kama samaki alakula chambo ama la

ukiona kinachezacheza kama vile kudonoa donoa unafyatua. Hopeful ITANASA :-)

Yasinta Ngonyani said...

Edna visste inte att du tycker om att fiska.
Haya bwana ukipata nitupieko kamoja. Na Edna ha det bra helg!!

EDNA said...

Ja!Da Yasinta jag tycker mycket om att fiska.Men jag har inte fått upp någon fisk ännu.

FOUNDATION:Asante kwa ushauri, kweli sijawahi kuweka chambo labda ndio sababu.

Faith S Hilary said...

uuuuuuh ungeniita dada...then tungeenda kufukua nyungunyungu!! (worms) hahahha! lazima kuwe na chambo la sivyo samaki hawakujui kabisa! I always wanted to try fishin bt never done it...this is cool!

MARKUS MPANGALA said...

weeeeeeeee umenikumbusha kwetuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu Nyasa hadi raha jamani

Masangu Matondo Nzuzullima said...

Sasa kama hujaweka chambo, unafikiri utapataje samaki? Na ukibahatika kupata samaki, utawapeleka nyumbani, kuwasafisha, kuwapika na kuwala au utawarudisha tena majini baada ya kuwajeruhi mataya yao?

Ukipata lisamaki likubwa utaweza kweli kupambana nalo mpaka ulitie mtumbwini?

Naona sasa maswali yametosha...

Bennet said...

Chambo muhimu ingawa pia kama hujui mbinu wanaweza kukitafuna na samaki usipate
Ukiona boya linacheza unazungusha kuvuta juu mshipi wako