Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Friday, 28 May 2010

TAFAKARI YA IJUMAA NA WATOTO WA MITAANI!

Wakati kuna Watanzania wanatumia mamilion ya shilling kwa siku ,kuna watoto wa mitaani ambao hawana mahali pa kuishi,hawana chakula,hawasomi, hawana ulinzi,... kiujumla maisha wanayoishi ni ya hatari tupu.Wanaishi kwa neema ya Mungu tu.......Kwa kweli hali ya hawa watoto inasikitisha sana.Akiwa amepumzika baada ya kazi ngumu ya kuzunguka barabarani kutafuta riziki.
Wakitafakari jinsi ulimwengu unavyowatesa....Umri huo walitakiwa wawe shule lakini ndio hivyo tena........
Popote kambi ilimradi siku ziende.

1 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Mama weee! kwa kweli hii si haki kabisa. Hivi kwa nini kusijengwe jengo kubwa ila mradi tu wapate sehemu ya kulala kweli hii si haki kulala kama wanyama hivi kweli. naona leo ni kama tuliambizana kuhusu watoto yatima. Unajua kuna watoto wanasema mimi leo sitaki kula ugali na maharage nataka chips mayai na soda, Na anapewa nimeshuhudia hili. Watoto wanaoishi maisha haya ndio watakao kuwa ngangari hapao baadae. Kwani wanakuwa wanajifunza mengi katika maisha yao. Mungu uwe na hao watoto Daima.