Monday, 17 May 2010
TUTAFIKA KWELI?
Hapo sio sokoni au stand ya bus...... bali ni Hospitali ya Mwananyamala wodi ya akina mama wakiwa wamelala mzungu wa nne .Just close your eyes for one minute and tell me What picture do you get when you look at this photo. Mimi picha ninayopata ni kwamba hao wakina mama na watoto wao wakitoka hapo kuelekea majumbani kwao kila mmoja ataondoka na gonjwa lake.
Jamani this is so sick hivi Serikali haina hata chembe ya huruma kwa wananchi wake?
Nawaza kwa sauti kama Mzee wa Changamoto awazavyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
4 comments:
Hapo chozi limenidondoka.
Tunahitaji mabadiliko ya haraka, ikiwa ni pamoja na sera za serikali na mipango yake
mimi hata nshindwa nisemeje hivi hawa viongozi wanaona hili au kusikia wao wanakazania tu kura waendelee kuongoza hivi hata huruma hawana kwa akina mama? watanzania wenzangu ambao mnakerwa na huu uongoziwa ccm wakristo kwa waislaam tufunge na kuomba ccm iyondoke madarakani labda mambo yanaweza kuwa mazuri yaani naandika huku machozi yanitoka kl nikisoma habari tz sina hata mpango wakurudi nchini waniendelee
nimenukuu "Jamani this is so sick hivi Serikali haina hata chembe ya huruma kwa wananchi wake?" mwisho wa kunukuu:- Edna ndugu yangu sahau hilo wao wanafanya mambo yao tu kwa kweli inatia huruma sana. inabidi tuchagua viongozi wapya na viongozi hao ni sisi wenye uchungu na nchi yetu na muda huo ndio sasa.
:-(
Post a Comment