Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Thursday, 3 June 2010

MY SPECIAL THANKS TO ALL WHO HELPED US TO MOVE,REALLY APPRECIATE AND MAY GOD BLESS YOU ALL.

Chilling after the hard work,nimechoka asikuambie mtu.
The weather was really nice to be out.

6 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Naona kweli hali ya hewa ilikuwa nzuri maana mwanadada umependeza kweli. Nafurahi kuona umerudi na kuwa nasi.Upendo Daima-

Anonymous said...

hello! shem naona upo poa hongera sana.

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

Ati umechoka, mbona hujasahau kuvaa viatu?...lol

Hongera na naona kweli hali ya hewa ilikuwa MSWANO sana!

EDNA said...

Da Yasinta asante nimerudi tena,Pia shem asante.
Chacha umeanza uchokozi wako....jamani nisahau hata viatu.

Simon Kitururu said...

Umependeza kweli EDNA!

EDNA said...

Asante sana Simon