Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Sunday, 31 October 2010

MUNGU IBARIKI TANZANIA.

Ikiwa leo ni siku ya upigaji kura nchini Tanzania..... Watanzania wote popote pale ulimwenguni tuungane kwa pamoja tuliombee Taifa letu ili uchaguzi uwe wa amani,utulivu na haki.
GOD BLESS TANZANIA.

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Wabariki watu wake pia.!

emu-three said...

Amina, twaomba dua ikubalike na matokeo yawe mazuri!

chib said...

Watu waliopata fursa ya kupiga walifurahi, lakini wale waliokosa majina au kukataliwa walinuna, akiwamo mgombea Ubunge jimbo la Kawe wa NCCR - Mageuzi James Mbatia, kwani jina lake halikuwepo mahali alipojiandikisha!