Tukipeleka vipande vya cake kwa Wazazi..
Nikikata cake
Tusaidiane rafiki yangu kukata cake hahahaa.
Nikate nisikate? Akajibu kataaaaaaaaa!
Yam yam ya mafiga matatu,niliaambiwa hayo mafiga matatu yana maana yake, Eti niliambiwa kuwa nije kuzaa watoto watatu lol....
1 comments:
Kiafrika zaidi, kweli imetulia sana. Hongera
Post a Comment