Kama kuna nyimbo ambazo utamu huwa hauiniishi moja wapo ni huu hapa wa Haddaway,(WHAT IS LOVE)Huu wimbo ulivuma sana miaka ya 90.
Msikilize pia Eminem FT lil Wayne, yeye anasema NO LOVE nimejaribu kuusikliza huu wimbo kwa mbaali nikasikia sauti ya Haddaway na pia beat kwa mbali lina fanana na la Haddway.
Zote ziko poa lakini Haddaway bado ni mkaliiiiii.
Sunday, 26 December 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
4 comments:
Old is always gold mama! Naona sote tumeangalia za kale na sasa...japo na mbwembwe wanazojitahidi kuweka, Old is still gold!
Kweli Candy1 old is Gold banaa!
Umenikumbusha mbali kweli Edna !
Ngojea niitafute na COCO Jambo ya Mr President kuna vitu inanikumbusha .
Nakubaliana nanyi wadungu ya zamani ni ya zamani. Mneniona nilikuwa nanengua hapa mmhhh kazi kweli kweli na sasa inabidi nipumzike mwehh!! uzee huu!!!
Post a Comment