Pages

Subscribe:

Ads 468x60px

Monday, 3 January 2011

ICE BAR IN STOCKHOLM.....

Chilling in the ICE BAR ....
Baada ya kazi unaweza pitia hapa na mashost zako mkapiga story mbili tatu
Hii Bar ipo Stockholm Sweden,kila kitu kimetengenezwa kwa barafu kuanzia viti,meza na Bar yenyewe...Ni bar ya msimu yaani hujengwa wakati wa winter tu. Pana baridi asikwambie mtu ila wana makoti maalumu kwaajili ya kupunguza makali ya baridi,na ili uweze kuihimili baridi unatakiwa kunywa mapombe makalii, sasa kama wewe ni mwenzangu na mimi nenda kashangaeshangae tu dakika mbili alafu uondoke zako vinginevyo baridi litakumaliza....Ni pazuri kweli nasikia pia wana hotel na Restaurant.
Wenzetu kila walichonacho wanakitumia kwa manufaa,wangepewa jua wangezalisha umeme sisi mmmmmmh.

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Edna itabidi tuende kutembelea huko ikibidi hata kulala usiku mmoja ..lol kwa kweli ni maendeleo ,,,

EDNA said...

Haaa Yasinta utaweza kulala kwenye barafu? mweee mimi nitakusindikiza tu.