Nawatakia mwisho mwema wa wiki,na pia muwe makini na taarifa mtakazo zipokea leo...coz its FOOLS DAY.Mie nimeshapokea sms kibao za kufurahisha na kusikitisha,bila kushituliwa kuwa leo ni siku ya wajinga ningeshadata.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
4 comments:
Asante iwe njema kwako pia!.
Ahsante Edna iwe kwako pia! Nasikia wikiend hii kutakuwa na joto kwa hiyo usisahau kuota jua:-)
Wikiendi njema na umependeza sana Mtu wangu!
Da Rachael,Yasinta na Simon asanteni sana.
Post a Comment