Mv Spice ikiwa imezama pwani ya Nungwi.
MELI ya Spice Islander imezama usiku wa kuamkia leo ikiwa safarini kuelekea Pemba ikitokea bandari ya Malindi Unguja.
Meli hiyo inasemekana ilikuwa na abiria wapatao 610 ambapo juhudi za kuokoa majeruhi wa ajali hiyo zinaendelea hivi sasa.
Credit to Global publisherz.
1 comments:
Poleni sana kwa msiba mkubwa. Mwenyezi Mungu na azilaze roho za marehemu pema peponi. Amina
Post a Comment