Usione mdada kapendeza na mchuchmio wake ukadhani hakuna maumivu anasikia...
Wengine huwa wanavumilia maumivu ili kuepuka aibu au kuitwa mshamba, lakini huyu akaona bwana eeeh isiwe shida navivua kabisa na mapaparazi pigeni picha vizuri,,,maumivu ninayoyapata nayajua mimi.
Hapa mwenyewe kaamua kujitembelea peku.Kusema ukweli hivi viatu virefu wanawake huwa tunavivaa kwa ajili ya urembo ila mateso yake mmmh.
TCDC YAKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA WACHEZAJI
12 hours ago







2 comments:
ha ha haa, uremboooo, ni kaaazi kwelikweli!
Asante Mrembo wangu kwa kututobolea siri! Ila wewe ukiwa somo si siri zote za wafundwazo wadada utatupa? Natania!:-)
Ila poleni Wadada na mnapendeza aisee ila kwenye maumivu ndio siri napata!
Post a Comment