Dadake unaniuaaaaa, duhh wewe mgomvi sana!!!!!!siagi hapa.
kwa kweli tupo wengi ambbao tumemiss kitu hii halafu umenikumbusha chips mihogo na kachumbali mweeehhh!!
Hahahaaa Da Rachael nimejua we mdhaifu kwa mambo haya ndio maana nikakuringishia.@Da Yasinta wee acha tu, hunishindi mimi.
Hahahaha! unasema ww kuwa Edna mgovi na ww je tukuite nani...LOL eti huagi hata usipoaga ushachelewa mie nimewahi si unajua sisi majirani:-)
hahahahahah da'Yasinta tena nimevisikia vicheko vyenu wewe na da'Edna, nikasema hata sigongi hodiii hapa nimeliwa mimi/nimechelewaaaaa,tehtehthet jamani da'Yasinta unampendelea da'Edna kwasababu yupo jirani,yeye ni MGOMVI SANA!!!!!!NIMEZILAA/KUSUSA HATA UNIBEMBELEZIIII?
hahahaa lazima anipendelee jirani yake,akinikorofisha ataomba chumvi wapi?
Ninakunywa maji na kuangalia picha hii, nahisi njaa ndio inazidi badala ya kupungua
Post a Comment
7 comments:
Dadake unaniuaaaaa, duhh wewe mgomvi sana!!!!!!siagi hapa.
kwa kweli tupo wengi ambbao tumemiss kitu hii halafu umenikumbusha chips mihogo na kachumbali mweeehhh!!
Hahahaaa Da Rachael nimejua we mdhaifu kwa mambo haya ndio maana nikakuringishia.
@Da Yasinta wee acha tu, hunishindi mimi.