Polisi wakipiga mabomu eneo la kariakoo kuwatawanya waumini wa kiislam wanaotaka kuandamana.
Tayari watu 85 wamekamatwa na jeshi la polisi.
MUNGU IBARIKI TANZANIA.
Tuepushe na balaa hili.Watanzania sifa yetu ni amani.
Friday, 19 October 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment