Flaviana Matata.
 Mc’s wa Onyesho la Mavazi la 
Red Ribbon Fashion Gala 2012 Abby Plaatjes na Evance Bukuku 
wakikaribisha wageni na kutoa utaratibu wa shughuli nzima katika Hoteli 
ya Serena jijini Dar es Salaam.
 Muasisi na Mwenyekiti wa 
Tanzania Mitindo House Bi. Khadija Mwanamboka (kulia) akimkabidhi cheti 
ushiriki kwa Meneja Masoko wa CFAO MOTORS Tharaia Ahmed (katikati).
 MC Evance Bukuku akinadi gauni lililovaliwa na Mwanamitindo Jennifer Bash lililobuniwa na Sherri Hill.
 Wanamitindo Flaviana Matata na
 Jennifer Bash wakipita jukwaani na magauni yaliyotengenezwa na mbunifu 
wa kimataifa Sherri Hill wakiyanadi kwa wageni kwa ajili ya kuchangisha 
fedha za kusaidia kituo cha watoto yatima cha TMH.
Wageni waalikwa waliotia fora 
katika maonyesho hayo ambao walinunua magauni ya Sherri Hill kwa 
shilingi Milioni 4.8 Anitha (Kushoto) na Milioni 4 Alma ( wa pili 
kushoto) ikiwa ni mchango wao katika onyesho la Tanzania Red Ribbon 
Fashion Gala 2012.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)













0 comments:
Post a Comment